Home Dkt Tulia ateuliwa kugombea Uspika byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C) -January 20, 2022 Kamati Kuu ya CCM iliyoketi leo Januari21,2022 Jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, inemteua Dkt Tulia Ackson kuwania nafasi ya Uspika kumrithi Job Ndugai aliyejiuzulu Facebook Twitter